VIINGILIO vya Yanga Sc vs Simba Sc Ngao ya Jamii 16 September 2025
VIINGILIO vya Yanga Sc vs Simba Sc Ngao ya Jamii 16 September 2025
Mashabiki wa soka nchini Tanzania wanajiandaa kushuhudia pambano kubwa la kufungua msimu mpya wa soka – Ngao ya Jamii 2025, litakalowakutanisha mahasimu wakubwa wa jadi Young Africans SC (Yanga) na Simba SC.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mechi hiyo itapigwa Jumanne, Septemba 16, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Pambano hili linachukuliwa kama sehemu ya utangulizi wa msimu mpya wa 2025/2026, ambapo mabingwa wa Ligi Kuu Bara wanakutana na mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam (FA).
Tiketi na Viingilio Vilivyotangazwa
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na TFF tarehe 14 Septemba 2025, bei za tiketi kwa mashabiki watakaohudhuria mchezo huu wa kihistoria zitakuwa kama ifuatavyo:
Viingilio hivi vimegawanywa katika makundi makuu 3;
-
Mzunguko
-
VIP C
-
VIP B
-
VIP A
-
Platinum
BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIINGILIO VYOTE
Tags: VIINGILIO vya Yanga Sc vs Simba Sc Ngao ya Jamii 16 September 2025