Tag: Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026
Orodha ya Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026

Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limethibitisha rasmi orodha ya vilabu vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26. Mashindano haya yanatarajiwa kuanza mwezi Septemba 2025, yakihusisha jumla ya vilabu 58 kutoka mataifa 48 ya Afrika. Timu hizi zinajumuisha mabingwa wa ligi za kitaifa pamoja na zile zilizomaliza nafasi ya pili, […]