Tag: Njia za Kujikinga na Fangasi Ukeni kwa Mwanamke
Dalili, Sababu, na Njia za Kujikinga na Fangasi Ukeni kwa Mwanamke

Dalili, Sababu, na Njia za Kujikinga na Fangasi Ukeni kwa Mwanamke Fangasi ukeni (vaginal yeast infection) ni maambukizi yanayosababishwa na ongezeko la kuvu aina ya Candida albicans ndani ya uke. Ingawa fangasi huyu huishi kwa kawaida kwenye mwili wa mwanamke bila madhara, wakati mwingine huzaliana kupita kiasi na kusababisha maambukizi. Hali hii ni ya kawaida […]