Tag: NAFASI za Kazi Taifa Gas Limited September 2025
NAFASI za Kazi Taifa Gas Limited September 2025

NAFASI za Kazi Taifa Gas Limited September 2025 Taifa Gas Limited ni kampuni kubwa ya uzalishaji na usambazaji wa gesi ya LPG (Liquefied Petroleum Gas) nchini Tanzania. Kampuni hii imekuwa kinara katika kutoa suluhisho salama na rafiki kwa mazingira kwa ajili ya matumizi ya majumbani, viwandani pamoja na taasisi mbalimbali. Kwa uwekezaji mkubwa katika miundombinu […]