Tag: NAFASI 8 za Kazi Daqing Oilfield Construction Group

NAFASI 8 za Kazi Daqing Oilfield Construction Group

Filed in Nafasi za Kazi by on September 1, 2025 0 Comments
NAFASI 8 za Kazi Daqing Oilfield Construction Group

NAFASI 8 za Kazi Daqing Oilfield Construction Group Ofisi ya Rasilimali Watu ya Daqing Oilfield Constructions Group Company Limited (DOCG) inawaalika Watanzania wote wenye sifa zilizoainishwa hapa chini na walio tayari kufanya kazi katika mradi wa Marine Storage Terminal Project (MST) uliopo Chongoleani kuwasilisha maombi yao. Nafasi ya Kazi: Wafundi Umeme (08 Nafasi) Sifa za […]

Continue Reading »