Tag: NAFASI 17 za Kazi Mbinga District Council
NAFASI 17 za Kazi Mbinga District Council

NAFASI 17 za Kazi Mbinga District Council Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi […]