Tag: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Tanganyika District Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Tanganyika District Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Tanganyika District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-09-2025 hadi 18-09-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe […]