Tag: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nzega Town Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nzega Town Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nzega Town Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Nzega anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15.09.2025 hadi 18.09.2025 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama […]