Tag: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Kiteto District Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Kiteto District Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Kiteto District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 09-09-2025 hadi tarehe 10-09-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia […]