Tag: MAJINA ya Wailioitwa Kwenye Usaili Kilindi District Council
MAJINA ya Wailioitwa Kwenye Usaili Kilindi District Council

MAJINA ya Wailioitwa Kwenye Usaili Kilindi District Council Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-09-2025 hadi 16-09-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa […]