Tag: Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa kwa Njia ya Mtandao
Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa kwa Njia ya Mtandao

Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa kwa Njia ya Mtandao Katika dunia ya kidigitali, kupata cheti cha kuzaliwa kwa njia ya mtandao ni rahisi na haraka kuliko awali. Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imeanzisha mfumo wa usajili mtandaoni unaowezesha wananchi kuomba vyeti vya kuzaliwa bila kulazimika kwenda ofisini. Makala […]