Tag: Fomu za Kujiunga na Vyuo vya Afya Ngazi ya Cheti
Fomu za Kujiunga na Vyuo vya Afya Ngazi ya Cheti

Kila mwaka serikali ya Tanzania kupitia NACTVET (Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi) hufungua dirisha la maombi kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo vya afya. Vyuo hivi hutoa kozi mbalimbali za ngazi ya cheti (certificate) kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita wanaohitaji kuanza safari ya taaluma ya […]