KIKOSI Cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026

Filed in Michezo by on August 31, 2025 0 Comments

KIKOSI Cha Yanga SC Msimu wa 2025

KIKOSI Cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026

Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) imeingia kwenye msimu wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2025/2026 ikiwa na kikosi imara kilichochanganya uzoefu wa wachezaji wa ndani na kimataifa. Lengo kuu la Yanga ni kutetea ubingwa wa ligi na kufanya vizuri zaidi kwenye michuano ya CAF Champions League.

Kikosi Kamili cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026

Hapa chini ni orodha ya majina ya wachezaji wapatao 23 ambao ndio wanaunda kikosi kipya cha Yanga Sc kwa Msimu huu mpya wa 2025/2026

  1. Djigui Diarra
  2. Dickson Job
  3. Bakari Mwamnyeto
  4. Ibrahim Abdallah
  5. Pacome Zouzoua
  6. Mudathir Yahya
  7. Max Nzengeli
  8. Prince Dube
  9. Clement Mzize
  10. Israel Mwenda
  11. Denis Nkane
  12. Duke Abuya
  13. Abuutwalib Mashery
  14. Aziz Andambwile
  15. Lassine Kouma
  16. Moussa Balla Conte
  17. Offen Chikola
  18. Abdulnasir Abdallah Mohamed
  19. Andy Boyeli
  20. Celestine Ecua
  21. Mohamed Doumbia
  22. Mohamed Hussein
  23. Frank Assink

Maelezo Muhimu

  • Yanga SC imefanya usajili wa wachezaji wachache wa kimataifa kuongeza ushindani.

  • Kikosi kina wachezaji wazoefu walioisaidia klabu kushinda mataji mfululizo katika misimu iliyopita.

  • Shabaha kubwa ni kutetea ubingwa wa ligi kuu NBC na kufika hatua ya makundi katika CAF Champions League.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *