Michezo

KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo Jumanne 16 September 2025

Filed in Michezo by on September 15, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo Jumanne 16 September 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo Jumanne 16 September 2025 Leo Yanga Sc inaenda kuikabiri klabu ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu mpya wa mwaka 2025. Mchezo huu utachezwa leo Jumanne ya tarehe 16 September 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Kuanzia majira ya saa 11:00 za […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo Jumanne 16 September 2025

Filed in Michezo by on September 15, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo Jumanne 16 September 2025

KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo Jumanne 16 September 2025 Leo Simba Sc inaenda kuikabiri klabu ya Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu mpya wa mwaka 2025. Mchezo huu utachezwa leo Jumanne ya tarehe 16 September 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huu blog yako pendwa […]

Continue Reading »

Orodha ya Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026

Filed in Michezo by on September 3, 2025 0 Comments
Orodha ya Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026

Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limethibitisha rasmi orodha ya vilabu vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26. Mashindano haya yanatarajiwa kuanza mwezi Septemba 2025, yakihusisha jumla ya vilabu 58 kutoka mataifa 48 ya Afrika. Timu hizi zinajumuisha mabingwa wa ligi za kitaifa pamoja na zile zilizomaliza nafasi ya pili, […]

Continue Reading »

Ratiba ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Filed in Michezo by on September 3, 2025 0 Comments
Ratiba ya Mechi za Simba SC  Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Ratiba ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2025/2026 Simba SC, maarufu kama Wekundu wa Msimbazi, wametoa ratiba rasmi ya michezo yao kwa msimu wa 2025/2026 wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League). Ratiba hii inabeba matumaini makubwa kwa mashabiki huku Simba wakijiandaa kupigania taji dhidi ya wapinzani wakubwa kama Young Africans, […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026

Filed in Michezo by on August 31, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026

KIKOSI Cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026 Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) imeingia kwenye msimu wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2025/2026 ikiwa na kikosi imara kilichochanganya uzoefu wa wachezaji wa ndani na kimataifa. Lengo kuu la Yanga ni kutetea ubingwa wa ligi na kufanya vizuri zaidi kwenye michuano ya CAF Champions League. […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba Msimu wa 2025/2026

Filed in Michezo by on August 31, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba Msimu wa 2025/2026

KIKOSI Cha Simba Msimu wa 2025/2026 Klabu ya Simba SC imejipanga vyema kwa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026 pamoja na mashindano ya kimataifa. Kikosi hiki kimeimarishwa kwa wachezaji wa ndani na wale wa kigeni wenye uzoefu mkubwa. Kikosi Kamili cha Simba SC Msimu wa 2025/2026 Hapa chini ni orodha ya majina […]

Continue Reading »

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026

Filed in Michezo by on August 31, 2025 0 Comments
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa 2025/2026 ni moja ya michuano inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini. Ratiba ya ligi hii imekusanya mechi kali kati ya klabu kongwe na zile mpya zinazopanda daraja. Mashabiki wa Simba SC, Yanga SC, Azam FC, […]

Continue Reading »

Ratiba ya Ligi Kuu England 2025/2026 EPL

Filed in Michezo by on August 31, 2025 0 Comments
Ratiba ya Ligi Kuu England 2025/2026 EPL

Ratiba ya Ligi Kuu England 2025/2026 EPL Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Uingereza 2025/2026 umeanza rasmi kuanzia 15 Agosti 2025 hadi 24 Mei 2026. Ratiba kamili ya mechi 380 imetolewa, ikihusisha timu 20 kutoka klabu za juu kabisa nchini Uingereza. Round 1 Tarehe Saa Timu Nyumbani Timu Ugenini 15.08.2025 22:00 Liverpool Bournemouth 16.08.2025 14:30 […]

Continue Reading »