ajira24blog@gmail.com
ajira24blog@gmail.com's Latest Posts
Orodha ya Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026

Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limethibitisha rasmi orodha ya vilabu vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26. Mashindano haya yanatarajiwa kuanza mwezi Septemba 2025, yakihusisha jumla ya vilabu 58 kutoka mataifa 48 ya Afrika. Timu hizi zinajumuisha mabingwa wa ligi za kitaifa pamoja na zile zilizomaliza nafasi ya pili, […]
Ratiba ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Ratiba ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2025/2026 Simba SC, maarufu kama Wekundu wa Msimbazi, wametoa ratiba rasmi ya michezo yao kwa msimu wa 2025/2026 wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League). Ratiba hii inabeba matumaini makubwa kwa mashabiki huku Simba wakijiandaa kupigania taji dhidi ya wapinzani wakubwa kama Young Africans, […]
NAFASI za Kazi Yas Tanzania

NAFASI za Kazi Yas Tanzania YAS Tanzania ni kampuni inayoongoza nchini inayojihusisha na utoaji wa huduma mbalimbali za usafirishaji na vifaa vya ujenzi. Kampuni hii imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia maendeleo ya sekta ya miundombinu kupitia usambazaji wa vifaa bora kama saruji, chuma, mabomba na vifaa vingine vya msingi vinavyohitajika kwenye miradi ya ujenzi. […]
Fomu za Kujiunga na Vyuo vya Afya Tanzania 2025/2026

Fomu za Kujiunga na Vyuo vya Afya Tanzania Sekta ya afya nchini Tanzania inakua kwa kasi, na kila mwaka maelfu ya vijana hupata nafasi ya kusoma katika vyuo vya afya vinavyosajiliwa na NACTVET. Kwa mwaka wa masomo 2025/2026, serikali kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) imetangaza taratibu […]
Code za Mitandao ya Simu Duniani (Namba za Nchi Mbalimbali)

Code za Mitandao ya Simu Duniani (Namba za Nchi Mbalimbali) Katika ulimwengu wa mawasiliano ya kidijitali, code za mitandao ya simu duniani (ambazo pia zinajulikana kama country codes) ni muhimu sana. Kila nchi duniani inayo namba ya kipekee inayotumika kurahisisha mawasiliano ya kimataifa. Bila kutumia code ya nchi husika, huwezi kupiga simu nje ya mipaka […]
Code za mitandao ya simu Tanzania (Ni Mtandao Gani)

Code za mitandao ya simu Tanzania (Ni Mtandao Gani) Katika Tanzania, kila mtandao wa simu una code maalum (au prefix) zinazotambulisha namba zao. Mara nyingi watu wanapopokea simu au kuona namba mpya, hutaka kujua haraka kama namba hiyo ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, TTCL, Zantel au Smile. Kujua code za mitandao ya simu Tanzania […]
MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri Mbalimbali September 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri Mbalimbali September 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada […]
MAGAZETI ya Leo Tanzania Jumanne 02 September 2025

Habari ya leo mwanaFursa24 Blog, Karibu kwenhye kurasa hii ya Magazeti ya leo Tanzania Jumanne ya September 02, 2025. Hpa utaweza kupata wasaha wa kupitia vichwa vya habari vilivyoweza kupewa nguvu katika kurasa za mbele za magazeti ya leo Tanzania Jumanne 02 September 2025. MAGAZETI ya Leo Tanzania Jumanne 02 September 2025
NAFASI za Kazi Coca-Cola Kwanza Ltd

NAFASI za Kazi Coca-Cola Kwanza Ltd Coca-Cola Kwanza Ltd ni moja ya kampuni kubwa za vinywaji baridi nchini Tanzania, ikifanya kazi chini ya leseni ya kimataifa ya Coca-Cola. Kampuni hii imejipatia umaarufu kwa kuzalisha na kusambaza vinywaji maarufu kama Coca-Cola, Fanta, Sprite, Dasani na Stoney Tangawizi. Kwa miaka mingi, Coca-Cola Kwanza imekuwa ikiwahudumia mamilioni ya […]
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Tanganyika District Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Tanganyika District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-09-2025 hadi 18-09-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe […]