KIKOSI Cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026
KIKOSI Cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026
Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) imeingia kwenye msimu wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2025/2026 ikiwa na kikosi imara kilichochanganya uzoefu wa wachezaji wa ndani na kimataifa. Lengo kuu la Yanga ni kutetea ubingwa wa ligi na kufanya vizuri zaidi kwenye michuano ya CAF Champions League.
Kikosi Kamili cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026
Hapa chini ni orodha ya majina ya wachezaji wapatao 23 ambao ndio wanaunda kikosi kipya cha Yanga Sc kwa Msimu huu mpya wa 2025/2026
- Djigui Diarra
- Dickson Job
- Bakari Mwamnyeto
- Ibrahim Abdallah
- Pacome Zouzoua
- Mudathir Yahya
- Max Nzengeli
- Prince Dube
- Clement Mzize
- Israel Mwenda
- Denis Nkane
- Duke Abuya
- Abuutwalib Mashery
- Aziz Andambwile
- Lassine Kouma
- Moussa Balla Conte
- Offen Chikola
- Abdulnasir Abdallah Mohamed
- Andy Boyeli
- Celestine Ecua
- Mohamed Doumbia
- Mohamed Hussein
- Frank Assink
Maelezo Muhimu
-
Yanga SC imefanya usajili wa wachezaji wachache wa kimataifa kuongeza ushindani.
-
Kikosi kina wachezaji wazoefu walioisaidia klabu kushinda mataji mfululizo katika misimu iliyopita.
-
Shabaha kubwa ni kutetea ubingwa wa ligi kuu NBC na kufika hatua ya makundi katika CAF Champions League.