KIKOSI Cha Simba Msimu wa 2025/2026
KIKOSI Cha Simba Msimu wa 2025/2026
Klabu ya Simba SC imejipanga vyema kwa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026 pamoja na mashindano ya kimataifa. Kikosi hiki kimeimarishwa kwa wachezaji wa ndani na wale wa kigeni wenye uzoefu mkubwa.
Kikosi Kamili cha Simba SC Msimu wa 2025/2026
Hapa chini ni orodha ya majina ya wachezaji wapatao 28 ambao ndio wanaunda kikosi kipya cha Simba Sc kwa Msimu huu mpya wa 2025/2026
- Moussa Camara
- Hussein Abel
- Shomari Kapombe
- Anthony Mligo
- Karaboue Chamou
- Rushine De Reuck
- Abdurazack Hamza
- Yusuph Kagoma
- Jonathan Sowah
- Elie Mpanzu
- David Kameta
- Mohamed Mussa
- Jean Charles Ahoua
- Alassane Kante
- Steven Mukwala
- Joshua Mutale
- Mzamiru Yassin
- Morice Abraham
- Awesu Awesu
- Valentino Mashaka
- Hussein Daudi Semfuko
- Mohamed Bajaber
- Anthony Mligo
- Naby Camara
- Ahmed Pipino
- Yakoub Suleiman
- Seleman Mwalimu
- Neo Maema
Maelezo Muhimu
-
Simba SC inalenga kurejesha ubingwa wa Ligi Kuu NBC na kufika mbali kwenye CAF Champions League.
-
Usajili mpya umefanyika kwa kuzingatia kuongeza nguvu sehemu ya ushambuliaji na ulinzi.
-
Kikosi kina wachezaji wenye uzoefu wa kimataifa na vijana chipukizi kutoka Tanzania.